Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge

Jengo jipya la Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja limefunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mfulizo wa ziara zake katika Mikoa ya Unguja.[Picha na Ikulu] 23/10/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ( wa pili kulia) akiwasalimia Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwekaji wa Jiwe la Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ( wa tatu kulia) pamoja na Waziri wa Afya (wa tatu kushoto) kwa  pamoja wakifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja.[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ( katikati) akikata utepe kuzindua  Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,Viongozi mbali mbali wakishuhudia uzinduzi huo leo akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tanzania wa Saifee Hospitali Bw.Murtaza Ali Bhai.[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ( katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tanzania wa Saifee Hospitali Bw.Murtaza Ali Bhai (kushoto) wakati alipotembelea Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,mara baada ya   uzinduzi  rasmi leo ambapo viongozi Viongozi mbali mbali walishuhudia uzinduzi huo, akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja .[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Dr.Navil Aggarwal   wa Saifee Hospitali  Bw.Murtaza Ali Bhai (kushoto) wakati alipotembelea Chumba cha huduma za X Ray Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,mara baada ya   uzinduzi  rasmi leo ambapo viongozi Viongozi mbali mbali walishuhudia uzinduzi huo, akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja .[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Baadhi ya Vifaa vipya vya Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambayo leo imezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 23/10/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Dr. Husein Hassanali Mtaalam wa Upasuaji wa Mishipa ya Moyo katika Saifee Hospital Zanzibar inayoendesha kutoa huduma za Afya kwa Hospitali za Wilaya Zanzibar (katikati) wakati alipotembelea Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,mara baada ya   uzinduzi  rasmi leo akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja (kushoto) Mkurugenzi na Daktari wa masuala ya Familia Dr.Murtaza Haidarbhai, .[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwasalimia wananchi waliofika kupata matibabu kwa maradhi mbali mbali wakati wa uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakati alipotembelea vyumba mbali mbali  katika  Hospitali hiyo akiwa katika ziara  kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja .[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya  uwekaji wa Jiwe la Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo akiwa  katika  ziara zake kutembelea Miradi mbali mbali  ya maendeleo katika Mikoa ya Unguja(kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.[Picha na Ikulu] 23/10/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.