Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan akagua Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji katika shamba la Mbegu, Kilimi Nzega Mkoani Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati akielezea kuhusu chanzo cha Maji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati akielezea kuhusu mradi wa Skimu ya umwagiliaji pamoja na uzalishaji wa Mbegu bora za mazao ya Kilimo katika Shamba la Mbegu Kilimi Nzega Mkoani Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Mbegu bora za mazao ya Kilimo katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati wakitoka kukagua chanzo cha Maji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati akielezea kuhusu chanzo cha Maji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora.
Miundombinu ya Umwagiliaji katika Shamba la Mbegu lililopo Kilimi, Nzega Mkoani Tabora 
Miundombinu ya Umwagiliaji katika Shamba la Mbegu lililopo Kilimi, Nzega Mkoani Tabora. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.