Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amiri wa Taifa la Qatar Mhe. Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than wa pili kutoka kushoto kwake pamoja na viongozi wengine wa Mataifa mbalimbali wakati wakimwagilia miti maji kuashiria ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha tarehe 02 Oktoba, 2023
REA YASAMBAZA MITUNGI NA MAJIKO YA GESI KWA WATUMISHI WA GEREZA LA UKONGA
DAR ES SALAAM
-
-REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi
-Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza
kuwa M...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment