Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Igunga kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Tabora

Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Hassan Wakasuvi mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na Kwaya ya Watoto wa Shule ya Msingi Majengo mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Picha na Ikulu.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.