RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika katika kuitikia dua ya kumombea Muandishi wa Habari Muandamizi
Mstafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la
Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji Ramadhan Suweid, ikisomwa na Katibu
Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume,alipofika
Hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake, leo
13-10-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsalimia Muandishi wa Habari Muandamizi Mstaafu wa Shirika la Utangazaji
Zanzibar (ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji
Ramadhan Suweid, alipofika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar jengo la
Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake leo 13-10-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw.
Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini
Unguja kumjulia hali yake leo 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea
kuwatembelea Wazee

akimsalimia na kuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Tawi la
Muembeshauri na Balozi No.2 wa CCM. Bi. Hiyari Miraji Othman, alipofika nyumbani kwake
muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo.13-10-2023, kumjulia hali yake .
No comments:
Post a Comment