RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Sheikh. Machano Makame Machano, alipotembelea
nyumbani kwake mtaa wa Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja, kumjulia hali yake
ikiwa ni utaratibu wake kuwatembelea Wazee mbalimbali.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Sheikh. Machano Makame Machano, alipotembelea
nyumbani kwake mtaa wa Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja, kumjulia hali yake
ikiwa ni utaratibu wake kuwatembelea Wazee mbalimbali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ikisomwa
na Sheikh.Machano Makame Machano (kulia kwa Rais) alipofika nyumbani kwake
Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake na
kumsalimia na (kulia kwake) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Othman Ame Chum
na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Alawi Suleiman
Khatib, alipofika nyumbani kwake Makadara Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya
kumjulia hali yake na kumsalimia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Alawi Suleiman
Khatib, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Makadara Wilaya ya Mjini Unguja,
kumjulia hali yake na kumsalimia,ikiwa ni utaratibu wake kuwatembelea Wazee
mbalimbali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua, baada ya
kumaliza mazungumzo na kumsalimia Mzee Alawi Suleiman Khatib.(kulia kwa Rais)
alipofika nyumbani kwake mtaa wa Makadara Wilaya ya Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment