Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), leo, amemuaga Rais wa Sudan Kusini, ambaye pia ni Mweyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Salva Kiir, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha 24 Novemba 2023, ambapo alikabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya hiyo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye.
TASAC YATOA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI
-
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) jana tarehe 16 Septemba, 2025
lilifanya mafunzo ya usalama na utunzaji wa mazingira majini kwa wadau wa
usaf...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment