Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Kituo cha Wafanyabiashara Wajasiriamali Akiendelea na Ziara Yake Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake (wa pili kulia)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kama ishara ya ufunguzi wa  Kituo cha Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi(kushoto) pamoja na  Viongozi aliofuatana nao wakitembelea sehemu mbali mbali katika kituo cha  Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakinunua viatu kwa  Mfanyabishara mjasiriamali Mama Salha Sleiyum  (kushoto)   wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa  Kituo cha Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba   akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuunga Mfanyabishara Ndg.Salum Shaaban (kulia) kununua Viatu anavyouza katika  Kituo cha Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba alipokifungua leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake (katikati)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mathar Zahor Masoud
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakinunua viatu kwa  Mfanyabishara mjasiriamali Mama Salha Sleiyum  (kushoto)   wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa  Kituo cha Wajasiriamali Chake chake -Michakaeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba   akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake 
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.