Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa mmoja wa Mshindi Kampuni
ya TCC wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini
(PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mshindi wa jumla Kampuni
ya Tanzania Breweries (TBL) wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa
Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome,
Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima kutoka kwa
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) Paul Makanza wakati wa
hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa mmoja wa Mshindi Kampuni
ya TotalEnergies wakati wa hafla ya utoaji
Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa
Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.
No comments:
Post a Comment