RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kuwasili katika
viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Unguja kwa
ajili ya ufunguzi wa viwanja hivyo leo
30-12-2023, vilivyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ikiwa ni
shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais
wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo
30-12-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais
wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo
30-12-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Viwanja vya Michezo
vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na
(kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu Mkuu Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Dkt. Juma Malik Akili na
(kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg.Nassor Shaban, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt..Mohammed Said Dimwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Viwanja vya Michezo
vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na
(kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa
Rais) Mkurugenzi Muendeshaji Mfuko wa
Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg.Nassor Shaban, Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipuriza kifirimbi kuazisha mchezo wa
kirafiki wa Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex
Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kati ya Timu ya Karume Boys
U-15 na Timu ya ZSSF,mchezo uliofanyika baada ya kufunguliwa kwa Uwanja huo leo
30-12-2023, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya
Salum na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Ndg.Nassor Shaban,Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir
(Mrembo) wakifuatili mchezo huo wa ufunguzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mama Mariam Mwinyi wakifuatilia
mchezo wa kirafiki wa ufunguzi wa Uwanja wa Matumbaku Sports Complex Miembeni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuufungua uwanja huo leo
30-12-2023,kati ya Timu ya Karume Boys U-15 na Timu ya ZSSF,mchezo uliofanyika
baada ya ufunguliwa, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kuliia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF
Ndg.Nassor Shaban,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana
Mustafa
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika leo
30-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
VIJANA wa Sarakasi wa Chuo cha Mafunzo
Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa hafla ya ufunguzi wa
Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni
shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo
vya Matumbaku Sports Complex Miembeni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra
za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Spotrs Complex
Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia na kuufungua uwanja huo leo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa
viwanja vya michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua
uwanja huo leo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment