Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Rais wa Taasisi ya YTB Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje Bw. Abdullah Eren, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.