RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia
Mhe.Ajay Banga, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo
6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda
wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kushoto kwa
Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada
Mkuya Salum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli
ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa
Tathimini ya Muda ,wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA
20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu
Hassan, na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mwingulu Nchemba
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Golden
Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa
Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Mkutano wa
Kimataifa wa Tathimini ya Muda ,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya
Dunia (IDA 20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa
Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya
Dunia (IDA20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.
Samia Suluhu Hassan, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja
wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano katika
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango
Tanzania Mhe. Dkt. Mwinguli Nchemba akizungumza,wakati wa Mkutano wa Kimataifa
wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia
(IDA20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada
Mkuya Salum
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini
ya Muda Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20)
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo
unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023 , akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.

No comments:
Post a Comment