Mkuu wa Chuo cha City College Ilala Dar es Salaam Ndg. Shaban akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji mwenye nidhamu katika Mchezo wa Mapinduzi Cup 2023/2024 kutoka Timu ya Jamhuri wakati wa mchezo wao na Timu ya Yanga uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda kwa bao 5-0.

Mkuu wa Chuo cha City College Ilala Dar es Salaam Ndg. Shaban akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji mwenye nidhamu katika Mchezo wa Mapinduzi Cup 2023/2024 kutoka Timu ya KVZ Salum Athuman, wakati wa mchezo wao na Timu ya Jamus mchezo huo umetoka sare ya mabao 1-1, uliochezwa katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar. 
No comments:
Post a Comment