Habari za Punde

Mkude Aibuka Mchezaji Mwenye Nidhamu Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Dhidi ya KVZ Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Jana Usiku

Mkurugenzi Mkuu wa City College of Health Shaban Mwanga akimkabidhi fedha taslimu mchezaji Mwenye Nidhamu beki wa Timu ya Yanga Mkude katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Dhidi ya Timu ya KVZ mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Katima mchezo huo timu hizo zimetoka sara ya bila kufungana.  

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.