Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ahutubia Katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, Jakarta Nchini Indonesia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika  Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji. Mkutano huo ulifanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la  Biashara na Uwekezaji  uliofanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika  Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji. Mkutano huo ulifanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.
Wawekezaji pamoja na Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.