Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ahitimisha ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia kwa kutembelea Kiwanda cha Indesso Aroma Inbox

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais na Mkurugenzi wa Indesso Tanzania (Zanzibar )ltd Feri Seloh kuhusu mchoro maalum unaoashiria mchakato mzima wa utengenezaji wa bidhaa zitokanazo na Karafuu nchini Indonesia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais na Mkurugenzi wa Indesso Tanzania (Zanzibar )ltd Feri Seloh kuhusu moja ya bidhaa zitokanazo na Karafuu ambazo zinatengenezwa na Kiwanda hicho nchini Indonesia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo kuhusu kazi mbalimbali zinazofanyika katika Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma wakati akihitimisha ziara yake nchini Indonesia. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa katika Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia wakati alipohitimisha ziara yake tarehe 26 Januari, 2024. Kiwanda hicho kikubwa kinatengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na malighafi ya zao hilo la Karafuu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Januari Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo pamoja na viongozi wengine wakifuatilia wasilisho la historia ya Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia wakati akihitimisha ziara yake nchini humo tarehe 26 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.