Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bw.Mavere Tukai
wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo unaofanyika katika Ukumbi wa
Golden Tulip Airport – Unguja, Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
(JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika Mkutano
wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo unaofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip
Airport – Unguja, Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa na viongozi mbalimbali wakiwasili katika Ukumbi wa Golden Tulip
Airport – Unguja, Zanzibar wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa
Magonjwa ya Moyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwaongoza kuimba wimbo wa Taifa washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa
Magonjwa ya Moyo unaofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Airport – Unguja,
Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akimkabidhi tuzo Muuguzi Kiongozi wa Kwanza wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete (JKCI) Bi. Salome Kassanga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa
wa Magonjwa ya Moyo unaofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Airport – Unguja,
Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya
Moyo unaofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Airport – Unguja, Zanzibar.
No comments:
Post a Comment