Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kufungua Jukwaa la Kodi na Uwekezaji kwa Mwaka 2024. Tarehe 27 Februari 2024.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo
kutoka kwa wadau wa sekta ya fedha wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Jukwaa la Kodi na Uwekezaji kwa Mwaka 2024
linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Jukwaa la Kodi na Uwekezaji kwa Mwaka 2024
linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini
Dar es salaam. Viongozi wengine ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mhe. Zena Said, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja
na Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa
Ufunguzi wa katika Jukwaa la Kodi na Uwekezaji kwa Mwaka 2024 linalofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment