Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Viti Maalum Kunti Majala , Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge Viti Maalum Dkt. Ritta Kabati, Bungeni jijini Dodoma

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Erick Shigongo Bungeni jijini Dodoma
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.