Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Norway
Mhe. Jonas
Gahr Støre Jijini Oslo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa hafla ya
chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini
Oslo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu
wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo
tarehe 14 Februari, 2014.
No comments:
Post a Comment