Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan azungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway tarehe 14 Februari, 2024.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway 
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway 
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo nchini Norway.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.