RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Maendeleo
ya Uvuvi Zanzibar Dkt.Salum Soud Hamad, akitowa maelezo ya uendeshaji wa Diko
na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjni Unguja Jijini Zanzibar,wakati wa ziara
yake kutembelea Soko hilo leo 26-2-2024, na kuagalia bei za Samaki katika soko
hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Soko la Samaki Malindi Wilaya
ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, akiwa katika eneo la juu la soko hilo na
kuangalia sehemu ya kushushia samaki inayotumiwa na Wavuv, akiwa katika ziara
yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Ungujai

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mnada wa Samaki katika Diko na
Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, na kununua samaki
katika mnada huo, akiwa katika ziara yake kutembelea Soko hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wavuvi na Wachuuzi wa Samaki
katika Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, akiwa
katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kulia kwa Rais)
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaban Ali Othman,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir.
WANANCHI na Wachuuzi wa Samaki katika Diko na
Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na
Wafanyabiashara ya Samaki katika Soko hilo, wakati wa ziara yake leo 26-2-2024
katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwananchi Bi. Kurthum Issa
Noura Mkaazi wa Makadara aliyefika katika Soko la Malindi kwa ajili ya kununua
samaki, wakati wa ziara yake kutembelea Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 26-2-2024, kuangalia bei ya samaki katika sokom
hilo.
No comments:
Post a Comment