Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Ali Amour na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiasha Zanzibar (ZNCC)  uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2024

WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akizungumza kabla ya kumkaribiaha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua Mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024

MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Hamad Hamad akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya hiyo uliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Tanzania Commercial Bank Ndg. Adam Charles Mihayo akizungumza na kutowa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki ya TCB kwa Wafanyabiasha, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara (ZNCC) uliyofunguliwa na Rais wa Zabnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024.

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Ali Amour akizungumza na kutowa maelezo ya mafanikio ya Jumuiya hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 15 ya Jumuiya hiyo, uliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024.

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua Mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2024 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.