RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko la
Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo
leo 26-2-2024, kuangalia hali ya bei za bidhaa katika soko, tukielekea katika
kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan

WAFANYABIASHARA wa Soko la Jumla na
Rejereja Jumbi Wilaya ya ya Magharibi
“B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ( hayupo pichani) akizungumza na Wafanyabiashara wa
Soko hilo wakati wa ziara yake iliyofanyika leo 26-2-2024, kukagua mwendendo wa
bei za bidhaa katika soko hilo
WAFANYABIASHARA wa Soko la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyiashara ya Soko hilo
wakati wa ziara yake, iliyofanyika leo 26-2-2024, kuangalia bei za bidhaa
mbalimbali katika soko hilo na changamoto za wafanyabiashara

MFANYABIASHARA katika Soko la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Maryam Gaspal, akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
iliyofanyika leo 26-2-2024, kukagua bei za bidhaa katika soko hilo na
changamoto za wafanyabiashara hao
MFANYABIASHARA katika Soko la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja akizungumza na
kutowa maoni, wakati wa ziara ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
iliyofanyika leo 26-2-2024, kukagua bei za bidhaa katika soko hilo na
changamoto za wafanyabiashara hao.
WAFANYABIASHARA wa Soko la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ziara yake
kutembelea Soko hilo na kukagua bei za bidhaa mbalimbali, iliyofanyika leo
26-2-2024.
No comments:
Post a Comment