RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid
Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, alipowasili katika
viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala
ya Ijumaa iliyofanyika leo 23-2-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini
ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya
Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja iliyofanyika leo
23-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam
katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud
Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak
Bububu Kihinani na (kushoto kwa Rais)
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
No comments:
Post a Comment