RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftaar maalum kwa Wananchi
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi, katika Iftaar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyofanyika jana
25-3-2024.
WANANCHI
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ,
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024
WANANCHI
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ,
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum
aliyowaandalia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya
kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana
25-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya
kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana
25-3-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika kuitikia dua
ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani )
baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar Maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar jana 25-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa futari Mwananchi
Mtopope Hakim Mohammed Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla ua Iftaar maalum
aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar jana 25-3-2024.
No comments:
Post a Comment