WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa
Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum
aliyowaandalia Wananchi wa Makundi
Maalum wa Mkoa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa
wa Kaskazini Unguja

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti na Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani
kwao, baada ya kumalizika kwa hafla ya
futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa
Kaskazini Unguja

Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Viongozi wa Serikali na
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu
wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais ) na Makamu wa Pili wa
Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman
na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar
Kabi,(hayupo pichani) na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Mama Asha Suleiman,baada ya kumalizika kwa futari
maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo iliyofanyika katika
ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika
na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, katika kuitikia dua baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi wa makundi maalum, iliyofanyika katika
ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja
No comments:
Post a Comment