Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini
Kenya tarehe 28 Aprili, 2024. Rais Samia
anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha
vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia unaotoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi
zinazoendelea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024. Rais Samia anatarajia
kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya
Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA. IDA ni Mfuko Maalum
wa Benki ya Dunia unaotoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan
Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa ajili
ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya
Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea mara
baada ya kuwasili Jijini Nairobi Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya
Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na baadhi ya Watanzania waliofika kumpokea
Jijini Nairobi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu
wa Nchi za Afrika wenye
lengo
la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa
21 wa IDA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
No comments:
Post a Comment