Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigusa screen ya iPad
kuashiria uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya
Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe
03 Aprili, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri
wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye mara baada ya
kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa katika hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha
iliyotengenezwa na kufumwa kwa nyuzi kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye mara baada ya kuzindua Tume ya Ulinzi wa
Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa
misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.
No comments:
Post a Comment