RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika viwanja vya Nyamazi Dimani Ndambani Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Uzinduzi Rasmin wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
uliofanyika leo 14-4-2024 katika viwanja hivyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ,
wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja,
wakati akitembelea banda la maoneshe la Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya
maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo, baada
ya kutembelea baanda la maonesho la Ofisi hiyo wakati wa uzinduzi wa
Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganika na Zanzibar,
yanayofanyika katika viwanja vya Maonesho vya Nyamazi Dimani Ndambani Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud, wakimsikiliza Afisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Huduma za
Afya Zanzibar (ZHSF) Asha Kassim Biwii,wakati akitembelea banda la maoneshe la (ZHSF)
wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya maonesho vya Nyamanzi Dimani
Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kulia
kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,wakimsikiliza
Katibu Msaidizi wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) Jonas Nduttu, wakati
akitembelea banda la maoneshe la (JFC) wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe
za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja
vya maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mkurugenzi wa (BOT) Tawi la
Zanzibar Camillus Kombe,wakati akitembelea banda la maonesho la (BOT) katika
viwanja vya Maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B”, wakati
wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa
Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani
Jafo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid.14-4-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya
Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Fatma Mabrouk Khamis ,wakati
akitembelea banda la maonesho la Wizara hiyo katika viwanja vya Maonesho
Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B”, Unguja, wakati wa Uzinduzi wa
Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
(kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.14-4-2024
WASANII wa Kikundi cha Idara za SMZ wakitowa
burudani ya Ngoma ya Kibati,wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yaliyofanyika katika Viwanja
vya Maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, uzinduzi
huo uliyofanyika leo 14-4-2024
WASANII wa Kikundi cha Ngoma ya Kiumbizi kutoka
Pijini Pemba,wakitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliyofanyika leo 14-4-2024
katika viwanja vya Maonesho Nyamanzi Dimani Ndimbani Wilaya ya Maghaeribi “B”
Unguja.

WASANII wa Kikundi cha Ngoma ya Kiumbizi kutoka
Pijini Pemba,wakitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliyofanyika leo 14-4-2024
katika viwanja vya Maonesho Nyamanzi Dimani Ndimbani Wilaya ya Maghaeribi “B”
Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Maonesho vya Nyamanzi
Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, na kuzindua rasmin Sherehe za Maadhimisho
ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika leo 14-4-2024.
WANANCHI wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akihutubia katika viwanja vya Maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimsho ya Sherehe za Miaka
60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo
14-4-2024.

VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia
wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maonesho
Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
No comments:
Post a Comment