Habari za Punde

Rais Mstaafu wa Tanzania Mwenyekiti wa Tasisi ya Masuala ya Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Aongoza Vikao vya Bodi Hiyo Berlin Ujerumani

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete,  Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) akiongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 - 6 Juni, 2024.

 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) a kibadilishana mawazo na wajumbe wakati wa mapumziko ya Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 - 6 Juni, 2024.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.