Habari za Punde

HAKIKISHENI MNAMALIZA MRADI KWA WAKATI ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA- CPA MAKALLA* .




Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amewataka watumishi wanaopewa nafasi ya kusimamia miradi kuhakikisha wanamaliza  kwa wakati uliyopangwa kwani wananchi wanasubiri huduma hizo.
 
Amesema hayo leo akiwa kwenye Ukaguzi wa mradi wa Maji Bangulo Ilala Mradi Wenye thamani shilingi Bilioni 39 na ujazo wa Lita Milioni 9 ambapo utakapokamilika utahudumia watu zaidi ya Laki Nne 
.
🗓️07 Julai, 2024
Siku ya pili Muendelezo wa Ziara Mkoa wa Dar es salam 

#CCMImara
#VitendonaSauti
#TunaendeleanaMama
#KaziIendeleee

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.