Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Msumbuji Mhe. Philipe Nyusi Awasili Zanzibar kwa Ziara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.