MUONEKAO wa Moja wa Nyumba Nne za ghorofa za Madaktari
wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba zilizofunguliwa leo 1-7-2024 na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada
ya kuwasili katika viwanja vya Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba, kwa
ajili ya ufunguzi wa Nyumba za Madaktari wa hospitali hiyo uliofanyika leo
1-7=2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Balozi Mdogo wa Jamhuri
ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Ming (kushoto) na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu
Waziri wa Afya Mhe. Hassan Khamis Hafidh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Balozi Mdogo wa Jamhuri
ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Ming (kushoto) na
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya
Mhe. Hassan Khamis Hafidh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzifungua Nyumba Nne za
Ghorofa kwa ajili ya makaazi ya Madaktari wa Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba leo 1-7-2024 na (kushoto kwa Rais) Balozi Mdogo wa Jamhuri
ya Watu wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe. Zhang Ming na Katibu wa Baraza
la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa
Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa ufunguo wa nyumba Nne za
Ghorofa zilizojengwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China wakati wa ufunguzi
wa nyumba hizo uliyofanyika leo 1-7-2024, akikabidhiwa na Balozi Mdogo wa
Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Ming na
(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea moja ya Nyumba Nne za Ghorofa
za Madaktari wa Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba baada ya kuzifungua leo
1-7-2024 katika viwanja vya Hospitali hiyo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kulia
kwa Rais) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake
Zanzibar Mhe.Zhang Ming na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea moja ya Nyumba Nne za Ghorofa
za Madaktari wa Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba baada ya kuzifungua leo
1-7-2024 katika viwanja vya Hospitali hiyo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Balozi
Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Ming

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa
ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Hospitali ya Abdallah Mzee
Mkoani Pemba, baada ya kuzifungua Nyumba Nne za Ghorofa kwa ajili ya Madaktari
wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani,zilizojengwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu
wa China, ufunguzi huo iliyofanyika leo 1-7-20242 na (kulia kwa Rais) Waziri wa
Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Balozo Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa
China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Ming na (kushoto kwa Rais)
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Masoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kuzifungua na
kukabidhiwa nyumba nne za ghorofa kwa ajili ya Madaktari wa Hospitali ya
Abdallah Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika leo
1-7-2024.

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor
Masoud na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake
Zanzibar Mhe. Zhang Ming, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati
akihutubia na kuzifungua Nyumba Nne za Ghorofa za Madaktari wa Hospitali ya
Mkoani Pemba, ufunguzi huo uliyofanyika leo 1-7-2024.
VIONGOZI mbalimbali wa Taasisi za Serikali Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Nyumba Nne za Ghorofa kwa ajili ya makaazi ya Madaktari wa
Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba, ufunguzi huo uliyofanyika leo 1-7-2024
MADAKTARI Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China
wanaotowa huduma za matibabu katika Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Nyumba Nne za Ghorofa kwa ajili ya makaazi ya Madaktari wa
Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba, ufunguzi huo uliyofanyika leo 1-7-2024
VIONGOZI mbalimbali wa Taasisi za Serikali Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Nyumba Nne za Ghorofa kwa ajili ya makaazi ya Madaktari wa
Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba, ufunguzi huo uliyofanyika leo 1-7-2024
VIJINA wa Uhamasishaji Pemba wakishangilia
wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Ufunguzi na Makabidhiano
ya Nyumba Nne za Ghorofa za Madaktari wa Hospitali ya Abdallah Mkoani Pemba,
uliyofanyika leo 1-7-2024

No comments:
Post a Comment