RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe kutoka Jimbo la
Shandong Jamhuri ya Watu wa China, ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa (CPPCC) Mhe.Zhang
Xinwen (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake
Mhe.Zhang Xinwen Makamu Mwenyekiti wa (CPPCC) kutoka Jimbo la Shandong Jamhuri
ya Watu wa China, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa (CPPCC) kutoka Jimbo la Shandong Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Zhang Xinwen, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-7-2024.
No comments:
Post a Comment