Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita katikati akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali katika ziara ya Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ziara ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Mshauri Elekezi kutoka Wakala wa Majengo Zanzibar Abubakari Mohamed Bakari akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi walipofanya ziara ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Sabiha Filfil Thani akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufanya ziara kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri elekezi kutoka wakala wa Majengo Abubakari Mohamed Bakari wakati walipofanya Ziara kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali Ali Haji Mwadini kulia akitoa ufafanuzi wa baadhi ya maswali yalioulizwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi wakati walipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment