Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta
kitambaa kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa
shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya
Tasani Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe
kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za
Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja,
Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja
ya Madarasa mara baada ya kufungua Skuli
ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la
Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar.
Kikundi cha burudani kikitumbuiza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya
Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la
Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Zanzibar.
Wageni
kutoka maeneo mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Skuli
ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la
Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar
No comments:
Post a Comment