RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mhe. Juma Duni alipowasili katika Kijiji cha Kikombe
Tele Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhudhuria
Maziko ya aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa
Kamisheni ya Utalii Zanzibar Marehemu Walid Fikirini, yaliyofanyika leo 11-8-2024
Kijijini kwao Kikombe tele.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika Sala ya maiti ya marehemu Walid Fikirini aliyewahi kuwa Katibu
Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, iliyoongozwa na Sheikh.Khamis
Abdulhamid, iliyofanyika katika Msikiti wa Kijiji cha Kikombe tele Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo 11-8-2024, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kushoto kwa Rais) Babu Juma Duni na Mtoto
wa Marehemu Mohammed Walid Fikirini RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu Walid Fikirini aliyewahi
kuwa Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, baada ya kumalizika kwa
sala ya maiti ikisomwa na Sheikh.Khamis Abdulhamid, iliyofanyika katika Msikiti
wa Kijiji cha Kikombe tele Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-8-2024, na (kulia
kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kushoto
kwa Rais)Mhe.Juma Duni na Mtoto wa Marehemu Mohammed Walid Fikirini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la marehemu
Walid Fikirini aliyewahi kuwa Katibu
Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, yaliyofanyika Kijiji kwao Kikombe
Tele Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa
familia ya Marehemu Walid Fikirini aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamisheni
ya Utalii Zanzibar, alipofika nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutowa mkono
wa pole kwa familia na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa marehemu Mohammed Walid
Fikirini na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid
Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Marehemu Walid
Fikirini aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar,
kuitikia dua ya kumuombea Marehemu, baada ya kutowa mkono wa pole kwa familia
ikisomwa na Sheikh.Khamis Abdulhamid na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu
Mohammed Walid Fikirini na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja.Rashid Hadid Rashid
No comments:
Post a Comment