RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Mabenki Yasio na Mpaka ya Uingereza
ukiongozwa na Mkuu wa Taasisi hiyo Matteo Scalabrinno akiwa na ujumbe wake (kulia
kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 14-8-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.
Juma Malik Akili na Viongozi wa PDB
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Ujumbe wa Taasisi za Mabenki Yasio na Mpaka ya Uingereza
ukiongozwa na Mkuu wa Taasisi hiyo Matteo Scalabrinno akiwa na ujumbe wake (kulia
kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 14-8-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.
Juma Malik Akili na Viongozi wa PDB
No comments:
Post a Comment