RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Mali Nchini
Tanzania Mhe.Madou Diallo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Mali Nchini Tanzania Mhe.Madou Diallo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-8-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Mali
Nchini Tanzania Mhe.Madou Diallo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha leo 14-8-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Mali Nchini Tanzania
Mhe. Madou Diallo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha leo 14-8-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na mgeni wake Balozi wa Mali Nchini Tanzania Mhe.Madou Diallo,
baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 14-8-2024, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulishaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na mgeni wake Balozi wa Mali Nchini Tanzania Mhe.Madou Diallo,
baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 14-8-2024, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
No comments:
Post a Comment