Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguimza na Waziri wa chi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Vangimembe Lukuvi, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru, Zidadu Kungu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na OIfisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment