RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe.Khalid Almuslahi,
alipofika Ikulu Jijini Zanziba kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu leo 23-9-2024. na (kulia kwake) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi
zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe. Khalid
Almuslahi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 23-9-2024 na (kulia kwake) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia
kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Masuala ya Utawala na Fedha Mhe. Khalid
Almuslahi,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 23-9-2024.
No comments:
Post a Comment