RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Bi. Fatma Abdallah Mussa
(Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu
Wilaya ya Mjini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake leo 27-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi.
Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani
kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-9-2024, ikiwa ni kawaida
yake kuwatembelea Wazee mbalimbali na kuwajulia hali zao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Bi.Fatma Abdallah
Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) (kushoto kwa Rais)alipofika nyumbani
kwake Kidongochekundu kumjulia hali yake, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza
mazungumzo.

No comments:
Post a Comment