RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar,uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 12-9-2024.
BAADHI ya Wageni waalikwa,Viongozi wa Wizara na
Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti
ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
12-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Ripoti ya Utafiti
wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Madini wa
Tanzania Mhe. Anthony Mavunde, wakati wa hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na
Utafiti wa Madini Zanzibar, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo 12-9-2024
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja na (kushoto ) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar
Mhe. Shaibu Hassan Kaduara
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa
Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, baada ya kuizindua leo 12-9-2024,
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini
Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara
WENYEVITI wa Bodi za Taasisi za Wizara ya Maji
Nishati na Madini Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti
wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani )
akihutubia na kuizindua ripoti hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip
Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
No comments:
Post a Comment