Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mother of Mercy Pre and Primary School ya jijini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi, Mother of Mercy Pre and Primary School ya jijini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Oktoba 31, 2024. Katikati ni Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (katikati), bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, bungeni jijini DodomaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment