VIONGOZI wa Serikali na Wanafamilia wa Wahitimu
wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar (Zanzibar School of
Health) wakifuatilia mahafali hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024, wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akihutubia wakati wa mahafali hayo, baada ya kuwatunuku Stashahada
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutunuku Wahitimu wa Skuli ya Afya
Zanzibar “Zanzibar School of Health” katika Mahafali ya Kumi na Mbvili (12) yaliyofanyika
katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
19-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar School Health
Aziza Omar Hemed.
WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga
(Nursing and Midwifery) wa “Zanzibar
School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao
Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Ufundi Stadi Madawa
(Pharmaceutical Science)wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada
yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika
katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Kukabiliana na
Maafa (Disaster Management) Ufundi Stadi Madawa (Pharmaceutical Science) wa “Zanzibar
School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao
Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga
(Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha
Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12)
ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika
katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga
(Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha
Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12)
ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika
katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
19-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi
Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed na (kushoto kwake) Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na
Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao
Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa
zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar
Hemed , wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School
of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 19-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalumu Bi. Talaa .M. Msellem,
wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health”
yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 19-10-2024
No comments:
Post a Comment