MUONEKANO wa Jengo jipya la Skuli ya
Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 23-10-2024
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa
mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali
ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuifunguwa
Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa
Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kulia kwake) Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa
BAADHI ya Viongozi na Walimu wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa
wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya
kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka
Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

No comments:
Post a Comment