Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau mara baada ya ufunguzi rasmi wa 29 wa Nchi wa Wananchama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) katika Ukumbi wa Nizami uliopo katika viwanja vya Olympus Park, mjini Baku Jamhuri ya Azerbaijan, uliofunguliwa leo Novemba 11, 2024 na kutarajiwa kuhitimishwa Novemba 22, 2024. Kushoto ni akiwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mabadiliko ya Tabianchi na Tathimini Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Kanizio Manyika.
KAMISHNA MKUU TRA AKUTANA NA UMOJA WA MABENKI
-
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiwa
katika picha ya pamoja na wadau kutoka umoja wa mabenki nchini leo Desemba
11,1024 ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment