Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini
kitabu cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa
Katibu Mtendaji wa
Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafariji Wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima
za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa
Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14
Novemba, 2024.
No comments:
Post a Comment