Habari za Punde

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA PROGRAMU ZA DUNIA NA MWAKILISHI WA SUSAN BUFFET FOUNDATION, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation mara baada ya kumaliza mazungumzo leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.